Wakadinali

Umoroto
(Big beats Afriq) Whozu Hmm Yeah! Kama we ni mchizi magames na player I'm so NY nakaa EA Mjuniour am breeding hukaa LA Maasai na amedunga ma-Meerell Na kutoka SA aliniuzianga makaa LA Don't bother hii ni Wakadinali Niite Don Munga Whozu mi ni nani? Karao nilimtukana na ni ka-Turkana Nilimbongesha kilami Munga nawakana mwizi alitegwa Buru ndani Burudani Mtoto msichana Hannah Montana Gwanja na miraa Niliacha kuzifanya hizo madawa Ma jaba na miraa Choma boza Munga ma mchicha Ati wako nichi wachawi wanajificha Nimetoka Umoroto kuwajibika Hata kukinyesha mi hubuy-ia mjuniour ma criba Balaa...baba! Umeshiba? Letras de cancionesNa ujue mi silei Osama Usiwai enda kuiba Sanse walikuja na Mazda Idhaa flani nikikunywa chwada Za ovyo tu kunihadaa Ati ju ya handas utalala mada Saa hizo niko madawa maduya Mtadu what? Vitu wanadu tuna-boo Wanabuya wanagwaya Still am living my dream Nataka Benzo na Bima What you talking naniii? Naeza kubuy-ia kwa baa na unazima Kama sikuchoti mamii Risto za free-ride hakuna Nani? Nani? Huh, Ni Wakadinali ririma Nimetoka Umoroto tena Kusakia wifey na mjuniour dema, uh Nimetoka Umoroto tena Nikiingia keja njumu inatepa, uh Nimetoka Umoroto tena Kusakia wifey na mjuniour dema, uh Nimetoka Umoroto tena Nikiingia keja njumu inatepa, uh [Sewersydaa Mkadinali] Alitaka niingiwe marungu, wapi juu informer aliua nyungu Tulimchunguch nugu tulimuonea 18 kiu Mungu Mungu Mkate ikatwe nusu nusu biz legit tukiwa mi na Whozu Na ni kuuliza tu BBI, Corona inatuhusu? Hatu-pose hata kama ni kwa picha Na hatudoze masaa si hupitisha On toes ju hamwezi tupita Na mmekimia hamwezi lilisha Slaves design ya Lupita 12-years Inda ju ya kuiva Baze usikam ka umepiga Unaeza rudi jakdes bila Sijamunch tangu late March Siwezi fight-ia system corrupt Na usifuss ka huwezi sparr Nchi zingine pia wao ni mraa Nyako ulimtoa kwa baa Mali fisa nilianua reserve Nakustuka una gun Haimaanishi uingie round ku-snatch Kuna time nilikuwa kwa crowd Na kuna time niligeuzwa Stephen RIP my partner in crime Alikuwa stoned to death mtaa ju ya wizi Sai niko exile pon di way On the road to mtini RIP my partner in crime Alikuwa stoned to death mtaa ju ya wizi Still am living my dream Nataka Benzo na Bima What you talking naniii? Naeza kubuy-ia kwa baa na unazima Kama sikuchoti mamii Risto za free-ride hakuna Nani? Nani? Huh, Ni Wakadinali ririma Nimetoka Umoroto tena Kusakia wifey na mjuniour dema, uh Nimetoka Umoroto tena Nikiingia keja njumu inatepa, uh Nimetoka Umoroto tena Kusakia wifey na mjuniour dema, uh Nimetoka Umoroto tena Nikiingia keja njumu inatepa, uh [Scar Mkadinali] For real for real Yoh, nimetoka keja tena uh Back in the streets ducking police nitakuwa mteja tena Chini matick Patek Philippe sijui ningeongezea mbwenya Huyo mtoto huscream ye hupenda hii stick but ye huwanga shy kusema Bitch umerudi cyber tena Mi Dosh na si wa side za Tena Ah bro bro ashaingia chamber Cheki hizo side za pienga Pull up kwa ndae na ndeng'a bitch dunga hio MPESA tena Yoh nini inaryhme na error? Oh mi siwezi smile na hater Ukitaka unapewa sahii, tukitoka ni Best I leanse Hatuzozi na wasee hawasaidii Eastlands said they know me I said for real Nina mbogi just me and my Gs Jaza pori ju mi huwanga biz Slowly slowly I go man knees You fuck with my homies you fck with me For real Mi huwanga lyrical Nina denga I had to leave it on New iPhone to write my lyrics on Chwadi bugazzi, jaba digital Macho ni indigo, drama ni mingi jo Mambeina leave me alone Hashtag easy o... Still am living my dream Nataka Benzo na Bima What you talking naniii? Naeza kubuy-ia kwa baa na unazima Kama sikuchoti mamii Risto za free-ride hakuna Nani? Nani? Huh, Ni Wakadinali ririma Nimetoka Umoroto tena Kusakia wifey na mjuniour dema, uh Nimetoka Umoroto tena Nikiingia keja njumu inatepa, uh Nimetoka Umoroto tena Kusakia wifey na mjuniour dema, uh Nimetoka Umoroto tena Nikiingia keja njumu inatepa, uh From Letras Mania